Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hamna neno ukiwakumbuka vichwa maji usisite kunishtua.Hapana labda vichwa matope[emoji13][emoji13][emoji13]
Usijali kichwa maji wanguHamna neno ukiwakumbuka vichwa maji usisite kunishtua.
Habari njema sana! Mungu Aendelee kukuimarisha nkoyi. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hello, jamani asanteni sana kwa maombi yenu. Nashukru Mungu naendelea vzr. Shukran za dhati kwa dr Nkinda na dr. Penny wamenihudumia vzr sana. Shida ilikuwa kwenye nerves hakukuwa na mawasiliano ndio maana mguu ukawa unapata ganzi.
Lkn pia nilikuwa na artificial body (chuma) nayo ikaonekana ni sababu basi ikawa imetolewa.
Kwa sasa Alhamdullilah hata nikijishika mguu napata feelings tofauti na mwanzo.
Nilipita kuwasalimia tu wapenzi, kuanzia jtatu nadhani ntarudi rasmi humu.
Nawamis sana wote na ninawatakia wkendi njema.
Utakoma tu leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupeza ni nini?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]unanikomesha eeh!Utakoma tu leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi sijui ni nini[emoji6]
[emoji6] [emoji6]Usijali kichwa maji wangu
Ila kama nimeelewa[emoji23][emoji23][emoji23]Utakoma tu leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi sijui ni nini[emoji6]
Mtafute Oni sigara wa baraza la kiswaz. [emoji6] [emoji6] [emoji6][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]unanikomesha eeh!
Hawa mafeki pasta itabidi tuanze hata kuwapopoa mawe ikiwezekana. Kuna mmoja hapa amekazana eti unamtumia $1,000 anakuombea kitu unachotaka halafu unasubiri siku 40. Kama hujakipata alichokuombea basi anakurudishia pesa zako. Ni shida tupu !!!Hii picha yaumiza macho[emoji6][emoji6]
Ha wa yuu feki pasta
[emoji6] [emoji6] [emoji6]Ila kama nimeelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nisichoshe kichwa changu mie
Aaaaaggr!!sijichoshi mie[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]Mtafute Oni sigara wa baraza la kiswaz. [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Dunia inaelekea ukingoni na vile binadamu tumekuwa desparate na miujiza basi tunaingia kichwa kichwa tu kwa watu kama hawa.Hawa mafeki pasta itabidi tuanze hata kuwapopoa mawe ikiwezekana. Kuna mmoja hapa amekazana eti unamtumia $1,000 anakuombea kitu unachotaka halafu unasubiri siku 40. Kama hujakipata alichokuombea basi anakurudishia pesa zako. Ni shida tupu !!!
Si ungeuliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6] [emoji6] [emoji6]
Nilisikia mtu muhimu anamwambia mtu muhimu mwingine hebu nisaidie maana yake[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.
Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"
Nisipokuchosha kuna mwingine naweza kumchosha.Si ungeuliza[emoji23][emoji23][emoji23]
Usinichoshe akili mie[emoji30][emoji30][emoji30]