Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nineliona hili ua waridi nikakakumbuka kale kajamaa. Sijui leo kako wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
7d194795e212c8ae05dab9cce68fc62c.jpg
Katakuja sasa hivi
 
Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.

Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom