Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Baby, I will love you always and forever
-[emoji177]
-[emoji177]
HahahahahaMtu mmoja alinunua nyama 1kg ili achomewe. Ilipoiva akasema ipimwe tena na ikawa 3/4. Akauliza 1/4 imeenda wapi, akajibiwa imeenda na moto.
Akauliza, kwa hivyo nikipima 1/4 ikichomwa sitapata kitu?
Hadi saai hawajamjibu... Ameenda tafutwa Meneja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]katika kufundisha darasani mara paap.mwalimu kajamba..!!akaondoka uku akijifanya amekasirika ....alivorudi kesho yake akaulza.."KIPINDI KILICHOPITA TULIISHIA WAP..?? wanafunzi kwa pamoja wakasema "TULIISHIA PALE ULIPOJAMBA"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mtu akienda Rwanda Mara paaap tumbo likambana akanya huko Rwanda ndo tunamuita mnyarwanda au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WHU vs TOT dakika ya 12 bao 0-0EPL today gr8
Yaani mkuu Niko somewhere hapa yaani nacheka mpka basi Numbisa leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daktari leo vipi? Yu a kilingi mi tudei...Dah !!!
Aminia dr wetuLeo siku ya furaha,kicheko ni tiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Feki pasta na feki Al Shabab waione hii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()