carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Uliniharibia siivii wewe kwa shemeji yangu[emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, yaani hata wewe! Well, now I know, I'm a foster kid! [emoji848][emoji848]
Nasema tena. Busara na hekima unazo. Basi tu !!!View attachment 594438
This is US, the likers! [emoji23][emoji23]
Jiachie Tu my woman moja ya malengo yangu nikukufanya wewe ufurahi.We nipe kichwa tu nifanye sifa na vile sipendi ipielo[emoji23][emoji23][emoji23]utaomba poo
Pole kwa pilikapilikaNshafika shemeji. Nimekuwa na pilika pilika nyingi leo. 4:19 PM ndo kidogo napumua sasa. Mnaendeleaje humu? Haka kachungaji feki bado kanaleta fyoko fyoko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawezi kuleta anamjua SYB vizuriDooh!pole sana
Usiseme kwa sauti feki pasta akasikia maana ataanza kuja na vimaua hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Maua kameshaacha. Sasa ni mvinyo mwekundu. Na si ajabu kakasingizia kuwa kanawanywesha damu ya mkombozi. Niliona hata wewe shemeji kidogo kakupate hasa ulipokaambia eti huwa huchezi na vitu vizuri. Ni shida !!!Dooh!pole sana
Usiseme kwa sauti feki pasta akasikia maana ataanza kuja na vimaua hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasema tena. Busara na hekima unazo. Basi tu !!!
Jiandae kusema baibai tu ipielo[emoji1][emoji1]Jiachie Tu my woman moja ya malengo yangu nikukufanya wewe ufurahi.
COLEWORLDLOVESYOU
Mwendo kwa madaaNa udondoke kabisa[emoji38][emoji38]tena chali[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahsante yegoo yani haupo jicho kavu kama la daiPole! Yaani hata ule wa kukata huna? [emoji23][emoji23]
Simba anamasikio huyu[emoji23][emoji23][emoji23]nimemuita kidogo tu huyo kaja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawezi kuleta anamjua SYB vizuri
Maua kameshaacha. Sasa ni mvinyo mwekundu. Na si ajabu kakasingizia kuwa kanawanywesha damu ya mkombozi. Niliona hata wewe shemeji kidogo kakupate hasa ulipokaambia eti huwa huchezi na vitu vizuri. Ni shida !!!
Yaani leo alitaka kunikamata sehemu mbaya acha kabisa[emoji23][emoji23]Maua kameshaacha. Sasa ni mvinyo mwekundu. Na si ajabu kakasingizia kuwa kanawanywesha damu ya mkombozi. Niliona hata wewe shemeji kidogo kakupate hasa ulipokaambia eti huwa huchezi na vitu vizuri. Ni shida !!!