Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wajinga hawa nao wanaboa sasa. Kama wanapigana si wapigane tu. Kama ni kasayari kote kanaangamia so be it. Stupid leaders/politicians [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Jakitoo niko tayari kufa shemeji. Malkia wangu jamani. Ukiachilia mbali urembo wa mwili, upole wake, utu wake, ubinadamu wake, tabia zake njema....Simba anamasikio huyu[emoji23][emoji23][emoji23]nimemuita kidogo tu huyo kaja
Sawa baby itasaidia at least [emoji9] [emoji9] [emoji9]Baby, naomba nikupigie nikubembeleze ulale. [emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]
Afadhali kama ulikashtukia. Siyo ka kuchezea haka. Nimekaona mahali kanajitetea eti kunywesha waumini mvinyo mwekundu wenye 60% alcohol content siyo tatizo kwa sababu ndicho kilichofanyika kule Cana ya Galilaya. Kumbe uwongo mtupu kanapindisha maandiko ili katimize haja za kimwili. Jitengeni nako !!!Yaani leo alitaka kunikamata sehemu mbaya acha kabisa[emoji23][emoji23]
Ndio mana nilikuita shem,pambanaKwa Jakitoo niko tayari kufa shemeji. Malkia wangu jamani. Ukiachilia mbali urembo wa mwili, upole wake, utu wake, ubinadamu wake, tabia zake njema....