Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Are they?Good couple
HahahahahaUzi huu umdumana maendeleo yangu lakini siuachi.
Hahahahaha mchinaKuna mmoja namfahamu ni maarufu humu kapokea kipigo toka kwa Mr wake sababu ya kuwa humu muda wote.
Hapo mhhhhhUzi huu washinda bia
Hapo sawaUzi huu washinda gongo
Kabisa mkuuNi uzi unaotishia ndoa za wana Uzi, maana muda wote wanadurusu
Aisee kweli mkuuUkiwa unaangalia mpira ukawa kwenye uzi huu utapitwa mengi
Ajabu na kweliNi uzi wa ajabu, maana mbunifu wake amejitenga nao
Poa mkuuSijilalamikii mimi niko fiti ila naona posts zenu no likes ninajaribu kufuta mashimo
Hapana hii T.P take profithii sura haijakaa ki mizinga mizinga... Ni S.L (stoploss)
Tunazipata humu humuUzi huu waondosha umakini hata kwenye kutazama habari mhimu