mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoto alikua akibishana na baba yake akisema 1+1=11, baba akamwangalia kisha akasema vizuri sana,akamtuma kununua mayai mawili,mtoto akaenda kununua,aliporudi akamwambia nipe moja lingne mpe kaka yako,wakaendelea kula,mtoto akauliza Mimi nakula nini? Baba akajibu kula tisa yaliobaki mjinga wewe