Rafiki nipo sema nimekuwa mzurulaji sana.Niambie rafiki,
Mbona huonekani mkuu?
Huku salama mkuu,Rafiki nipo sema nimekuwa mzurulaji sana.
Ila rafiki kuna usalama huko?
Jakitoo rudisha avatar ya shimba,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuuJakitoo rudisha avatar ya shimba,
Nimeona inayanyima nguvu mabazazi ya humu kila yakiona madevu.
Na upumbavu wako ni raha yako mwenyeweRaha yako ni upumbavu wako mwenyewe.
Nakubaliana na wewe kabisaaaaaaNa upumbavu wako ni raha yako mwenyewe
Hahaha... Inabidi nikutafte tujuzane mengi mkuuHapana hii T.P take profit
Soko ni kubwa sanaHuku salama mkuu,
Hofu yangu ni kuhusu kontena lako la miswaki iliyotumika.
Wakati unalipakia huko Sweden ulijaribu kufanya utafiti wa nani watakuwa wateja wako?
Na upumbavu wako ni raha yako mwenyewe
Busara tupu jamani. Dah !!!