Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inanipa shida sana mie watu wangu wa karibu ambao hawako tena duniani kuwaita marehemu pamoja na kuwa huo ndiyo ukweli halisi. Kwenye akili na moyo wangu hawa bado wataendelea kuishi.
Pole sana mkuu.... Mwenyewe inanipa shida sana sometimes nafikiria labda wameenda nchi ya mbali huko watarudi lakini miaka inazidi kuyoyoma[emoji22] [emoji55]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…