Husaidia kurahisisha choo (laxative)8 Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo9 Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda10 Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!