myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hakuna kitu hapa. Huwa anaropoka akiona kuwa ameelemewa na ishu nzito. Ishu ya Russia haiendi vizuri, Rocket man wa kiduku bado amemkalia kooni na sheria ya bima ya Republican karibu itabuma. Anaanzisha hizi kasheshe za kitoto ili kukwepesha ishu nzito zisijadiliwe. Mianasiasa !!!Hi Donald, you appear to be picking a fight with Steph Curry, one of the most popular athletes in the nation. Good luck with that, dotard.
Jaji mkuuHon. David Maraga Jaji Mkuu wa Kenya
Lete swaliSwali la msingi ni hili
YapUamuzi wake wameusoma?
Ina hakuna sheria iliyotumikaUamuzi wa kisiasa kweli ni wa kushangiliwa ?
Ni shida tuwaachie wahengaSiyo mara zote. Asubuhi inaweza kuanza vizuri tu halafu jioni mambo yakabumburuka. Waulize wakazi wa Tornado Alley kule Oklahoma watakwambia. Siku zenye hali ya hewa nzuri kabisa asubuhi ndizo zina uwezekano mkubwa wa kuwa na mitornado mikali sana nyakati za jioni....
Bonge la kocha
Hapo ndipo pabayaIdadi ya kura hazikuchunguzwa
Michezo karibu yote ukiiangalia kwa undani ni utoto tu. Na huko ndiko tunamalizia mabilioni ya dola. Kujistarehesha.Watu 22 wenye akili timamu wanakimbizana na kitu cha mviringo,
na watu wengine wenye utimamu wa akili wanawashangilia eti waitwa mashabiki wa vikundi vijiitavyo timu.
Hicho kitufe kikipigwa na kikampita mwangalizi wa milingoti hiyo miwili aitwaye goalkeeper watu wazima eti wanashangilia ajabu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app