myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sikutegemea kama kungekuwa na siku Goddess angeweza kupotea katika uzi huu. Pesa bila shaka zimamkomalia kiasi kwamba hana hata dakika chache za japo kuja humu na kusema AMUN RA. I am missing her (ila siyo zile picha za kutisha za mida ya wanga)ISIS ndo bado katekwa na mchina??
Poa Mimi sijambo kabisaSijambo kabisa......sijui weye?
Nilifikili kuingizwa kwenye Uzi wetu pendwaNapinga siasa kuingizwa into army
Aliteuliwa hile nafasi. Ni kweli hujui mawaziri wanavyopatikana?Huyu mama alipataje hile nafasi
Jamaa ana hatari sana
Yaani tu muchi nowNatamani ningekuwa ni mod au jembekilo maana.......
Wapenda siasa bwana. Mnauma na kupuliza. Kuweni na ujasiri tu kama GT yule. Hii ya kusema eti siasa acheni huku wakati mnapenda hamuoni kama ni kujinyima uhuru? Wekeni siasa tutwangane hata ban tuzikamatie huku huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanapenda sana breaking news
Well said mchinaNapenda tukimbize uzi huu kwa amani tu,
Humu kuna watu wenye itikadi tofauti,
Hivyo ni vyema tukaendelea kama siku zote tunavyoepuka siasa.
Wewe ni mkongwe humu,
nadhani unajua kila jambo hasa athari za ubishani wa kisiasa.
Kuna nani tena mchinaISIS hajatekwa nina uhakika, mwenye mali aje azungumze ukweli wote bila kuficha kitu.