myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahahaha mkuu naona kama mnachezea kichapoHawa West Brom tunawachakaza asubuhi na mapema. Miujiza ya jiniazi Wenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KweliSiasa zimezidi hadi kero[emoji57][emoji57][emoji57]
Ndivyo walivyoHakuna kitu hapa. Huwa anaropoka akiona kuwa ameelemewa na ishu nzito. Ishu ya Russia haiendi vizuri, Rocket man wa kiduku bado amemkalia kooni na sheria ya bima ya Republican karibu itabuma. Anaanzisha hizi kasheshe za kitoto ili kukwepesha ishu nzito zisijadiliwe. Mianasiasa !!!