I agreeCampbell, One of the best Super Model in the World
Una kumbu kumbu kali ajabu. Avatar yangu ya mwanzo mwanzo kabisa. Heshima yako mkuu.Kiongozi SHIMBA.
Picha hii (Eddie Murphy) imenifanya niikumbuke Avatar yako ya kitambo kileee.
Yaani hata kabla ya huu Uzi kuanzishwa.
Nikirudi kwenye Picha hii husika😀.
Haya Kiongozi
Hii ni yenyewe kabisa. Shimba ya Buyenze. Kumekuchaje mkuu?SHIMBA.
Tattoo ya bundi huyu naye vipi?
Huyu sijui muumini wa AMUN RA?