mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli Mkuu umeongeaSiyo viongozi wetu pekee bali ni jamii nzima. Jamii yetu inaabudu mafisadi ndiyo maana ukiiba ukatajirika unaitwa mjanja, mtoto wa mjini n. k. Ukiwa mwadilifu kabisa usiibe ustaafu hujatajirika basi utachekwa mno. Ndiyo maana ufisadi hautakaa uishe mpaka pale jamii nayo itakapobadilisha mtazamo wake !!!
Hahahahaha hii hata kwa matajiri zetu wamiliki wa mabasi basi likipata ajali la kwanza kuuliza yeye ni basi lake limeharibika au masuala ya majeruhi na waliokufa sio muhimu kwake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Captain wa mafanikio lakini kukosa EPL title ilimuuma sanaSteven Gerrard
08:0403;24
Wote kwa Mwenye Enzi ni wamojaKila MTU ana umuhimu wake
YapLikes nawe upate likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh, let me put on my eye glasses again! [emoji15]
Hahahahaha yegoBecause marriage is overrated! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mia mia
Yuko wapi Siku hizi huyu ameshakuwa muhengaNaomi