carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sasa sijui nikuulize au nikuache kwanza[emoji47][emoji47]Ahsante mama
Ningetamani kuzisikia[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshafika shemeji. Ningekuwa najua kweka audio hapa ningeweka moja tucheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya nini tena??[emoji15][emoji15]Heeeee!!!!! Nina hofu...
Naona ana lake huyu Mzee wa Tukuyu. Ngoja nimwangalie kwa makini. Wahasibu hawa ni wahongaji wazuri ohooo !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] kisirani tena mbona mie sikioni shemeji!
Tupo shemeji... hope all is well kwako
Kwamba umeamua kuachika? Usemage vya ukweli vya ukweli...Watu....Ningeitoa saangapi na wewe ulikimbia?
Ulivyomjanja sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ai sarenda[emoji119][emoji119][emoji119]nanyoosha mikono kabisa
Nimekunyanyapaa kwa lipi?Unaninyanyapaa sana,nguvu bado ninazo ujue...
Nshafika wapendwa. Na kisirani cha Mzee wa Tukuyu nshakiona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] SYB
Naona kagoma kuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Bado kidogo tu nifikie maamuziKwamba umeamua kuachika? Usemage vya ukweli vya ukweli...Watu....
Bluzi na kuning'iniana. Baby.....Tumpe muda kidogo atakuja tuu
aje tucheze bluzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo umefika na jakitoo kashaenda kulalaNshafika wapendwa. Na kisirani cha Mzee wa Tukuyu nshakiona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee kuna kipindi sikuamini kabisaaa sema tu undugu ndio unatufanya tuendelee kuwa pamoja.Jamaniii. Itakuwa umetandika jibapa si bure. Mimi huyu jamani huwa huniamini? Mimi huyu? Kweli?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hakika mama,nashukuru kwa maombi yenu,Mungu bado anaendelea kujidhihirisha ukuu wake.Naamini yatapita salama,lakini si nitakavyo mimi,bali vile Baba atakavyoona inafaa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Pole sana. Mungu yupo nawe. Usikate tamaa !!!Carba wangu[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] puliiiz mama,yaliongozana hadi akili ilihama,mwanao ilianza jumatatu asubuhi hadi leo saa sita mchana,kule nako ndio vile
Eeeh[emoji134][emoji134][emoji134]Wee mzee kuna kipindi sikuamini kabisaaa sema tu undugu ndio unatufanya tuendelee kuwa pamoja.
Nikizikumbuka zile vesi mbili tatu za nyuma...enewei,nwenyewe anahangaika na ipielo utadhani itamsaidia kushinda BIKO.