Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jana sikulala shemeji. Usiku mzima nambembeleza Jakitoo wangu alikuwa hajisikii vizuri. Hapa nimechoka balaa. Hizo cheche siyo mimi. Ni usingizi wa jana huo. Nisamehewe please. I hope sijamkwaza mtu !!!
Kwendaaaaa...Usingizi wako unazijua hips? Haya sawa,usingizi wako unaakili sana,ndio unichungulie nilivyo jitandaza!!! Halafu unashangilia badala ya kulala baada ya kuona vitu amezingi(kisiki cha mpingo)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…