Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeamua nijiwahi kujipiga marufuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeh
Haya yangu [emoji102][emoji102][emoji102]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kaamua kulimaliza tatizo mwenyewe.Hongera zenu,muishi kwa furaha sasa,ila usimzuie kabisa,akili zitalala sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhana,naona wakimbia vikao vya kifamilia
Haya [emoji4][emoji4]Nimeamua nijiwahi kujipiga marufuku
Zikilala ndio vizuri[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kaamua kulimaliza tatizo mwenyewe.Hongera zenu,muishi kwa furaha sasa,ila usimzuie kabisa,akili zitalala sana
My ndugu upo upande wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ipielo....huduma anatoa? Kama analala nyumbani hakuna tatizo.
Kama anavutiwa saaaana na makelele ya mpira, hebu zitafute hizo kelele na uzihifadhi kwenye CD, kila akifika mfungulie kilonga longa chenu kwa sauti ya juu ili aendelee kuinjoi hizo kelele.
Leo aseno kampiga mtu goli 4?[emoji23][emoji23][emoji23]maajabu na kweli
Umekumbuka kitu...Nimejikuta nawaza mbali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini
[emoji134] [emoji134] [emoji134] hela mama,hela...acha atafute hela,akili ichemkeZikilala ndio vizuri[emoji23][emoji23]
Nilikuwa najaribu kukuweka kwenye uhalisia kilichozungumzwa[emoji23][emoji23]Umekumbuka kitu...
Kwenye hela sijamkataza,kwani me hela sipendi?[emoji23][emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] hela mama,hela...acha atafute hela,akili ichemke
Kambahatisha mnyonge wakeLeo aseno kampiga mtu goli 4?[emoji23][emoji23][emoji23]maajabu na kweli