Huku tukuyu panaitwa mtakuja, atajileta tu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]saizi yuko daaaaar[emoji23][emoji23][emoji23]anakula upepo wa bahari
Cole Williams yaani nazidi kupata sababu za kuitisha kikao cha familia,me natishiwa maisha huku we umekaa kimya??[emoji23][emoji23]Yule shemeji yangu wala simuogopi, mpole sana wala sina ugomvi nae.
Heheh hilooo, we itisha tu hicho kikao.Cole Williams yaani nazidi kupata sababu za kuitisha kikao cha familia,me natishiwa maisha huku we umekaa kimya??[emoji23][emoji23]
Siku hizi kawa adimu kama jasho la samaki,anaonekana mara chache sanaWewe hv Bob yupo kweli? Tangu nimefika sijamuona baba viv.
Hakikisha unaita gari ya wagonjwa kabisa maana utapata hati ataki(heart attack)[emoji23][emoji23][emoji23]Yananihusu, na kesho lazima nihoji
Au mama Viv msomali kaja na sheria za kisomali?Siku hizi kawa adimu kama jasho la samaki,anaonekana mara chache sana
NdiwoooooooooKwhy unatak kusema ubaya wa jirani ni nn? Kuleta matunda ama?
Thubutuuu,jipe moyo tuHuku tukuyu panaitwa mtakuja, atajileta tu.
Mweh, thubutu. Mi najua huyo mzee hapo anapumzika tu. Hawezi kutupa jongoo na mti wake.Hakikisha unaita gari ya wagonjwa kabisa maana utapata hati ataki(heart attack)[emoji23][emoji23][emoji23]
Ungejua sasa kama nataka kubadilisha mali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheh hilooo, we itisha tu hicho kikao.
Naona majukumu tu yamemkabaAu mama Viv msomali kaja na sheria za kisomali?
Utabadilishaje kwa mfano?Ungejua sasa kama nataka kubadilisha mali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri uone sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Mweh, thubutu. Mi najua huyo mzee hapo anapumzika tu. Hawezi kutupa jongoo na mti wake.