Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatakuja Mkuu
[emoji777]Hatakuja

[emoji818]Atakuja

Wakerewe na Wahaya mna shida sana na h ~ irabu za Kiswahili. Wasukuma na Wakulya r~l. Wachaga ni nch~nj. Wamakonde m ~n na kuendelea. Katika muktadha wa kijamii, lugha ni utambulisho na viashiria hivi vinasaidia kumtambulisha mtu anatoka sehemu gani hasa katika jamii yenye makabila mengi kama yetu. Marekani kule unaweza pia kujua mtu anatoka wapi kulingana na lahaja ya Kiingereza anachoongea. Vivyo hivyo katika kiwango cha kimataifa. Kuna Kiingereza cha Uingereza, Marekani, Australia, New Zeland, Afrika Kusini, Nigeria, Jamaica n.k...

You are what you eat japo wanaisimu jamii wanaweza kusema you are what you speak...

Kwema mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…