UMESIKIKA.."......Imesemwa..."
Mjadala huu umefungwa.....
NIMESEMA......
Shemeji kwema? Wikiendi ndo hiyo imeanza. Umejiandaaje?
Kwema shemeji,habari ya leoShemeji kwema? Wikiendi ndo hiyo imeanza. Umejiandaaje?
Hapa ndo mahala pa kunena kwa lugha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alfonso na Consuela. Mje mtoe tafsiri hapa please !!!
Hili jambo la muhimu sana hasa kwetu wanaume. Hatujijali na hata tukiumwa hospitali hatutaki kwenda. Mpaka tukienda hispitalini mara nyingi inakuwa too late tunakata roho. Matokeo yake wajane kila kona.
Tujenge tabia ya kufanya physical exam angalau mara moja kwa mwaka. Hakikisha unajua hali yako ya sukari, lehemu (cholesterol), moyo, figo na kama ni mhenga tezi dume; na hali ya jumla ya mwili. Asante daktari wetu kwa kutukumbusha !!!