HahahahMbona unanichanganya
COLEWORLDLOVESYOU
Ni patamu kwa kweli. Unapewa likes na wewe unatoa likes. Karibu sana !!!Jamani Patamu Humu nakwambiaaa, Raha ilioje
Kalale dogo naona ulianza kurembua rembua humu na usingizi wako hapa.Wapendwa mkawe na usiku wenye baraka,Mungu apate kuwalinda.
Mkumbuke tu;haijalishi ni wakati gani mgumu wapitia au matatizo gani yamekuandama,siku zote usiache kumtumainia Mungu maana kila mitihani unayopitia yeye anaufumbuzi nayo ni kiasi cha kumuamini na kumuache akutendee kwa wakati.
Usimuache Mungu katika kila hatua ya maisha yako,mshukuru kwa kila kidogo alichokupa na kila jambo katika maisha yako.
Mungu awabariki nyote.
[emoji120][emoji120]
Ndiyo tuseme umechelewa kuleta maua ama? Kwema Andaeitiini?Amen! Na wewe ulale unono! Kumbuka tu kwamba, leo Chelsea amepigwa bao na MC! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
.....likesBe humble
Kama unavyonifahamu vyema[emoji6] [emoji6] [emoji6]Umefurahi mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi pengo laonekana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pata like.....likes
Aiseeh naona kama we dogo ulikuwa montress wangu hukosi kuniandika jinaUmesahau siku za sikukuu,test ikighairishwa,mkiruhusiwa shule mapema na muda wa kwenda nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vidole tu vimebonyeza.[emoji16][emoji16][emoji16]Vipi tena jirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Usintanie hebu angalia notificatio zako
Baby sijui nina usingizi!Be humble