myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asante sana mkuu. Hata mimi nilikuwa kama wewe. Mtu alikuwa akinitukana humu nilikuwa naumia sana. Baada ya kusoma soma vitabu mbalimbali vya kisaikolojia ndiyo nikajifunza mbinu hizi na zimeniokoa na mambo mengi pamoja na maugomvi mengi yasiyo na kichwa wala miguu. Mpaka imefikia sasa nikitaka kupima afya ya kisaikolojia ya watu naenda kule Jukwaa la Siasa na kuchangia hoja nzuri tu, naporomoshewa matusi wee halafu narudi huku kwenye uzi wetu huu wa upendo. Ni kitu cha kawaida; na silaha pekee inayoweza kuushinda uovu, majeraha na mizigo mizito waliyobeba watukanaji hawa ni upendo. Hakuna kitu kinachouma kama mtu anakuporomoshea matusi na anategemea kuwa nawe utajibu matusi ili bifu liendelee ikibidi mpaka upigwe ban na badala yake unamjibu (si kwa unyonge wala kujidharaulisha), "Asante mkuu. Mungu Anakupenda. Nitakuombea" halafu unaachana naye.Aisee Big Brother, your kindness is overwhelming...!!
Kwel kabisaa i should be charged for this but you have given it for free..!
Mkuu kama nilivyomwepesi kuudhika ndivyo pia nilivyomwepesi kuguswa na ishara za kujaliwa na mtu fulani...! Mkuu unaweza ukahisi what you have given me ni kidogo but just taking your precious time kuandika maneno yote haya yaliyojaa ishara za upendo yanamaana kubwa sana kwangu....! Mkuu umenigusa sana sana sana sana katika moyo wangu...! sitosahau busara hizi ndicho ninaweza ahidi na kuwa wakala wa usambazaji wa busara hizi endapo itahitajika..! Barikiwa sana sana sana sana..!!
I have taken notes...!
Usimpe mtu ye yote nguvu ya kukunyang'anya furaha na amani yako ya kuishi maisha yako unavyotaka as long as huvunji sheria. Mungu Anakupenda na Amekupa kila kitu. Kwa nini unakiruhusu kibinadamu kingine tena usichokifahamu kiingilie amani yako ya moyo?
Amen SHIMBA.Aisee. Kama ni hivi mkuu mtandaoni huku utateseka sana. Usichukulie kila kitu kuwa ni personal mkuu. Hatujuani huku hata mtu akikukwaza unapotezea na kusonga mbele. Kama kila ukikwazwa unasusa, utasusa mangapi hapa duniani? Mkeo akikukwaza napo utafanyeje? Usiwe too delicate na inferiority complex. Dunia hii ina changamoto za kila aina. Mwanaume huwa hakimbii changamoto bali hukabiliana nazo. You are a man for a reason. Please act like it !!!
Karibu mkuu...huu ndio mdundo wetu..posti.likes..humu utagundua mengi mazuri..ukipita haraka utaona hakuna cha maana..kujaliana
[emoji106][emoji106][emoji106]Usiku mwema wakuu wote humu..!
Mkuu ahsante sana..!Karibu mkuu...huu ndio mdundo wetu..posti.likes..humu utagundua mengi mazuri..ukipita haraka utaona hakuna cha maana..
PamojaMkuu ahsante sana..!
Upendo wako nimeuona..!
Mkuu sijui cho chote kuhusu mpira. Hata hawa jamaa siwajui. Unaweza kunifafanulia kinachoendelea hapa?πππππ