BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hii njemba ina midadi sana duh! Kuingalia wakati Chelsea wanacheza ni burudani ya aina yake.
Probably wanaongelea kuhusu kukata shauri kumgegeda mtu au kumwachia aende zake. Otherwise may be ni kwa matineja wanaoanza. Hata mimi simo humo kwa kweli !!!8.2 seconds mh! I know for sure I don't belong in that group of men.
Kiongozi.Mkuu sijui cho chote kuhusu mpira. Hata hawa jamaa siwajui. Unaweza kunifafanulia kinachoendelea hapa?
😀😀😀😀😀.Hii njemba ina midadi sana duh! Kuingalia wakati Chelsea wanacheza ni burudani ya aina yake.
Asante kwa ufafanuzi mkuu.Kiongozi.
Hawa ni Walimu wa timu mbili zilizokutana siku ya leo, yaani Manchester City na Chelsea.
Conte (kushoto) ni Mwalimu wa Chelsea, na upande wa kulia ni Mwalimu wa Manchester City wa kuitwa Pep Guardiola.
Sasa sijafahamu kama hii Picha ilifanyiwa utundu kabla, au baada ya Mechi.
Sijapata ujumbe kamili wa hii Picha.
Kilichonifanya nicheke ni baada ya kumuona Conte, sababu ni Mwalimu mwenye vituko vya kufurahisha
Lakini salamaHatari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Probably wanaongelea kuhusu kukata shauri kumgegeda mtu au kumwachia aende zake. Otherwise may be ni kwa matineja wanaoanza. Hata mimi simo humo kwa kweli !!!
By the way treasurer, umeona vitu vya CHAWAMITA nilivyorusha huko nyuma?
Conte ni Kiumbe cha kipekee😀hahahahaa mizuka ya CONTE ni mara kumi na mbili ya Simeon. ..