mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie ndio niliyemkera huyo jamaa na sijali anajisikiaje huko alipo,ila aache ukurupukaji kwa yasiyomhusu na vijembe juu. Honesty sinaga unafiki kusema nikae kimya kwa linalonikera humu,mie namwaga nasepa zangu. Na huwa sijali ntaonekanaje baada ya hapo.
Ushauri wako mzuri shimba. Huu ushauri unanipa nguvu ya kukorofisha(joke)wengine zaidi ili uwe unafunguka nondo muhimu kama hizi. Be blessed
Wewe subiri kichapoH
HahahahaHahahaha liver bana
Inamalizika mkuuWeekend inaendelea
Na kwako pia mkuuAmani na baraka kwenu
AminaMwenyezi Mungu tupe afya na uzima
AminaJumapili iwe mwanzo mpya
AMUN RA10:30
Ki Trump tena!!!!Write your reply
Frustrated
Nilifikiri Kichwa kichafuKichwa hakizidiwi na sikio
AMUN RA10:33
Kabisa vingine ni chupaVingine ni vipande vya chupa.
Habari ya jumapili jirani
Good evening mkuuMorning wana likes