mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
The one and only I'm real miss herISIS....
The one and only I'm real miss herISIS....
Niaje MkuuWakuu wakuu
Tupo wahengaWazawa mupo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Numbi...
Tusiharibiane wikiend
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
AMUN RAI hope yupo anaendelea kufanikiwa huko alipo
Haha mtu anakuona unatoka zako toi na ndo mkononi mikono ina maji na huna hata taulo afu anakuliza vip ulikuwa toi. .we mwambie tu nlikuwa mtoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cocaine
Marijuana
Mkuu vitu vya hatari sanaHeroine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzazi anagonga 50 plusLabda anapanga uzazi mkuu
Naona nadharia sana kuliko ukweliEti kiungo cha mwili kikitumika sana kinaisha na kutoweka kabisa.
Nahisi miguu yangu ipo hatarini kutoweka maana sio kwa kutembea kilomita nyingi kiasi hichi