Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Epuka vyakula na vinywaji vya moto au baridi sana kwani huchelewesha kupona kwa vidonda

Kunywa juice ya matunda mbali mbali itakayokuwezesha kupata virutubisho na madini ambayo huongeza kinga ya mwili

Kunywa maji mengi kila siku ambayo sio ya moto wala baridi

Piga mswaki mara kwa mara na taratibu ili kuepuka kukwangua na kutonesha sehemu zenye vidonda
 
Kula sana matunda asa machungwa, machenza na malimao kwani yana kiasi kikubwa cha vitamin ambayo huongeza kinga ya mwili. Pia yana asidi ambayo inaweza kuua wadudu wanaokuwepo mdomoni

Unaweza kununua pia Maltivitamini dawa yenye mchanganyiko wa virutubisho vingi ambavyo huweza kusaidia kurudisha kinga ya mwili katika hali ya kawaida

Kama vidonda vinaambatana na maumivu makali tumia dawa ya kutuliza maumivu au kuweka barafu ambayo hupunguza maumivu kwa muda
 
Tumia Asali ambayo husaidi kuua vimelea, kuponya makovu na kulainisha sehemu zenye vidonda

Kunywa maji ya nazi(madafu) ambayo upoza mwili na huua wadudu hatari mdomoni sambamba na kupaka mafuta ya nazi kwenye kidonda ili kupona haraka.

Kumbuka vidonda visivyopona kwa muda zaidi ya wiki mbili vinaweza kuashiria tatizo kubwa na sugu mwilini hivyo inakupasa kufika hospitali ambapo utapewa dawa za bakteria, fungasi, virusi au dawa nyingine zozote kulinga na ukubwa na visababishi vya tatizo.
 
TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI

Nyama za puani ni nyama laini zilizoota na kuning'inia kwenye njia ya hewa na mianzi ya pua ambazo husababiswa na uvimbe wa muda mrefu kwenye mfumo wa upumuaji, pumu, maambukizi ya mara kwa mara, aleji na magonjwa mengine ya njia ya hewa.
 
Nyama zikiwa ndogo huwa hakuna dalili wala ishara zozote zinazoingilia mfumo wa upumuaji ila zinapokuwa kubwa uzuia hewa kuingia na kuharibu mfumo wa upumuaji sambamba na kushindwa kunusa, maumivu ya uso, maumivu ya meno ya juu, mafua, kukoroma, macho kuwasha na maambukizi ya mara kwa mara katika njia ya hewa.
 
MATIBABU YAKE
Matibabu ya tatizo ili huwa ni pamoja na dawa, kubadili mfumo wa maisha na upasuaji kulingana na ukubwa au visababishi vya tatizo.
Dawa kama nasonex, cetirizine, antibiotiks huweza kutumika kwa nyia ya kunyunyuzia kwenye pua, vidonge au sindando ili kupuguza na kuzuia ukuaji wa nyama hizi huku zikisafisha mfumo wa upumuaji.
 
Upasuaji ufanyika endapo dawa zimeshindwa kuondoa tatizo ili na huwa ni upasuaji wa kutumia hadubini ya ndani kumuongoza daktari kuona kwenye njia ya hewa na miazi ya pua. Baada ya kufanya upasuaji utaweza kutumia dawa zilizotajwa juu hapo ili kuzuia kutokea tena kwa tatizo.
 
Upasuaji ufanyika endapo dawa zimeshindwa kuondoa tatizo ili na huwa ni upasuaji wa kutumia hadubini ya ndani kumuongoza daktari kuona kwenye njia ya hewa na miazi ya pua. Baada ya kufanya upasuaji utaweza kutumia dawa zilizotajwa juu hapo ili kuzuia kutokea tena kwa tatizo.
 
Nyanyua miguu yako juu ya usawa wa moyo wakati umelala kwa muda wa dakika 30 ili kuwezesha damu ya kutosha kurudi kwenye moyo. Fanya hivi walau mara 3 kwa siku kupata matokeo bora zaidi
Kufanya mazoezi laini pia itakusaidia kupeleka damu kwenye moyo na hivyo kurekebisha mzunguko wa damu

Ungeisindikiza hii point na kapicha ingekuwa bora zaidi
 
Back
Top Bottom