Senator_4994
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 233
- 402
KAZI KAZI
Hebu angalia katika hiyo Issue ya July mwaka 1973 Tracee ndio huyo aliepakatwa na Mama yake (Diana Ross).Jarida maarufu sana kwa black America
TATIZO LA VIDONDA MDOMONI
Vidonda mdomoni husababisha sana maumivu makali pamoja na kumfanya mtu asiweze kuongea vizuri na watu.Vidonda hivi husababishwa na kutafuta kwa muda mrefu hasa bigijii au kitu chochote, uvutaji wa sigara,maambukizi ya virusi, bakteria na fungasi sambamba na ukosefu wa madini na virutubisho vya folic, zinc, vitamin c,vitamin B12, na madini ya chuma.
Hapo diana Ross