Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaa kama mie tu nsivyopendaga maswali maana naona yatanipotezea muda wa kula likes
We angalau afadhali huwa unajibu japo kwa ufupi fupi hata kama ni kicheko tu inatosha. At least tunajua kuwa you are a human being and not a robot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na mimi nadhani karibu nitakujulia. Nikitaka u-respond ni kukukorofisha tu makusudically aka kutest zali....
 
Haya ni madhara ya Kutoboa mdomo na Ulimi
Katika zama hizi za utandawazi na muingiliano baina ya tamaduni zetu za asili na tamaduni za kimagharibi, imekuwa ni kawaida kwa vijana wa rika tofauti na jinsia zote kutoga ulimi, mdomo, kitovu ama kivimbe cha nyusi kwa sababu tofauti tofauti sana.
Hivyo basi, ni muhimu sana kufahama ukweli kuhusu faida ama hasara za kutoga ulimi ama mdomo kabla hujatekeleza azma yako ya kutoga viungo hivi vya mwili.
 
Kutoga Ulimi ama Mdomo kunaweza kukusababishia madhara yasiyotarajiwa

Matokeo mazuri zaidi ya kutoga ulimi ama mdomo ni kutokutokea kwa kidonda ama kivimbe, wakati matokeo mabaya kutokea kwa baadhi ya watu ni pamoja na kuvunjika kwa meno/jino, kuvuja kiasi kikubwa cha damu, ama maambukuzi ya bakteria kwenye kidonda. Kutoga ulimi hujumuisha kutumika kwa sindano inayopenyezwa katikati ulimi ili kupitisha na kuhifadhi kipini, ama ndoana ama hereni ya urembo. Kazi hii ya kutoga ulimi mara nyingi ganzi huwa haitumiki. Baada ya kutoga, kuvimba kwa ulimi na maumivu ya muda hutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…