carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mbona kama unanisema mimi[emoji85] [emoji85]Wengine hufanya zoezi la kutembea baada ya chakula ili kukipa nafasi nzuri ya kufanya kazi.
Utakuta mtu anakula viazi au wali maharagwe na jamii ya vyakula vingine vizito kisha hajipi muda wala hanywi maji anadandia kitanda kisa amechelewa kulala, hii ni sumu ndani ya tumbo lako kwani nafasi ya kufanya kazi inakuwa ndogo sana.
Moudgulf kakuulizia sasa hivi. Karibu kamanda wa UK/Masaki/DOMHabari za Leo