mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ipi hiyoLema na Nassari wamewachoma CCM ni kitu chenye ncha kali iliyochongoka
Hatujambo kabisaWahenga wa likes hajambo
Poa mkuu niajeHabari zenu?
Halafu mbona kama nafanana na huyo bidada[emoji19][emoji19]Niende ukweni ndio wanipikilishe hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizo ni sifa sasa
PoaHabari zenu?
Siasa uchwara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lema na Nassari wamewachoma CCM ni kitu chenye ncha kali iliyochongoka
Kupika nitapika ila......Ukiambiwa upike utakataa?
Hujamwona tuNamtafuta consuela wangu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
YapMwendo wa likes
Mkuu nipo nashukuru wadau wa likes kwa kunikumbukaMoudgulf kakuulizia sasa hivi. Karibu kamanda wa UK/Masaki/DOM
Nimekuingilia...kwenye simu yako nikaiiba. Nimeiba nyingi. Niziweke?Halafu mbona kama nafanana na huyo bidada[emoji19][emoji19]
Wee SHIMBA picha yangu umeitoa wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katandikwa nyingine?
Jukwaa la siasa I guess....
Tena ngoja niende huko nikatest zali...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mafuriko ya likesMvua za likes