myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa kupeana likes
Basiiiiiiii! Milizamu. Zisitonesheke. Nshatengua kauli ......Mimi?nisikutakie mema wewe?kweli lakini?[emoji22][emoji22][emoji22]
Mbona wanasema konokono ni afadhali kuliko denda - by the sheer number of bacteria exchanged?Numbisaaaaaaaaa unataka watu waache kula "konokono"?
Sema mkuuWakuu wakuu
Nafuatilia kwa uangalifu wa pekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi na vimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.
Safi sana
Nafuatilia kwa uangalifu wa pekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooooh boy [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini).
Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kinywani kama vile Gonnorhea, Syphilis, candidiasis (fungus), HIV n.k ipo pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya kujamiiana.
Mwisho, kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini, hakikisha unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliye salama.
HahahahahaLogo ya kijanja kwa wajanja