mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Likes kwa kila post
Kabisa my princessWazazi huwa wanajitoa vitu vingi sana kwa ajili yetu ila wakati mwingine tunakuwa si watu wa fadhira kwako,tunawaacha wasononeke kwa matendo yetu.
Mungu atusamehe kwakweli.
Ukipata bahati ya kuwa na wazazi/mzazi mtendee wema bila kuchoka.