mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Rip Mbwembwe
AminaMshukuru Muumba wako kwa kukuamsha salama
AminaWapo wengi walitamani kuiona siku ya leo lakini kwa mapenzi ya Muumba wao hawajaweza kuiona
AminaHatuna budi kumshukuru Muumba wetu kwa kutujalia pumzi ya bure kabisa bila kulipia hata senti sifuri
Tuwe na tabia ya kuomba msamaha tunapokosea
Tuwe na huruma
Mia miaTuwe wakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utamu wa kugegeda haujamuacha mzee salama
AMUN RA06:03
UpendoAmani
Mkuu habari ya uzima wakoAhsante sana Kiongozi
Kabisa mkuuKweli Kiongozi.
Katika Mpira wa Kikapu kwa ujumla sidhani kwa hivi karibuni itatokea kama Michael Jordan