Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu yameshawatokea kweli. Unapiga boksi unajinyima unafika home hakuna kitu. Na ukizubaa wanakuua. Mambo yamebadilka sana !!!

Kweli kabisa, na kweli ukizubaa wanakutafutia majambazi! Sisi watu ni shida kweli kweli. Ndio maana kama una project yako, ni bora unaifuatilia mwenyewe! Halafu hii ni kwa waafrika wote, huko West Africa ndio balaa yaani! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…