HakunaNani kama mama
HayupoHakuna kama mama
Siku mpya ya Likes kwa LikesNi siku nyingine
Hatari sana !! ( In Kipozeo voice)Licha ya njia hiyo, pia kuna aina nyingine ya kukuza ukubwa wa makalio inayotumiwa kwa sasa na wanawake wengi hasa wa mjini si ya kumeza wala kupaka dawa bali ni ya kuvaa taiti zilizojaladiwa vifaa maalum vilivyotuna mithili ya makalio.
[emoji15] [emoji109] [emoji33] [emoji33] [emoji7]
Kwani kuna chapati na "chapati"?[emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji jamanii !!! Kweli moyo usukume chapati? Au unaongelea chapati gani? Akili zangu wala siziamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Akiona visivyopaswa kuonwa eeh! [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️