carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]unataka ban eehWewe si unajidai unajua kujificha. Subiri niweke picha zako hapa
Hahahaahhah. Wewe niache kabisa huko Gonja kwetu kupanda mlima muhimu ila vigimbi noooHuwezi viona mana tangu uko mdogo unapanda milima
Hahahaaa..carba,nimefurahi kuwaona tena.Mungu akazidi kuwamwagia baraka zakeYaani hapa moyo wa baridiii baada ya kukuona,hadi kausingizi kameanza kuja[emoji4][emoji4]
Hizi imani ndio zinazotupoteza kwakweli na huwa hatujifunzi.Asante shemeji. Yaani huyo dogo ni ishu ya kusikitisha sana. Na vijijini huko imani za kishirikina tena ikawa mambo meengi. Nilipigana kufa na kupona kuhakikisha kuwa kila mtu anajua kuwa kilichomuua ni rabies na hajachukuliwa msukule lakini kijiji karibu chote hawakuniamini. Sad !!!
Amina[emoji120]Amin[emoji120][emoji120],Mungu awabariki pia
Mkuu habari ya kwakoNa anakufuta machozi usipotarajia.Mungu ni wa ajabu sana
Ban huwezi kunipa hata iweje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]unataka ban eeh
Asante ndugu yangu. Historia fupi uliyonipa na unayoyatenda vilinionyesha ubinadamu wako uliotukuka. Japo kimsingi ni wajibu wako lakini utalipwa zaidi na zaidi. Siku ile kama nilikukwaza nisamahe....Maombi yenu.Ahsante kwa SHIMBA YA BUYENZE,maombi yake yanajibu kwa wakati.Mungu akazidi kuwabariki[emoji120] [emoji120]
Unaona sasa?hutaki kuamini kama unavyoHahahaahhah. Wewe niache kabisa huko Gonja kwetu kupanda mlima muhimu ila vigimbi nooo
HahahUnaona sasa?hutaki kuamini kama unavyo
Na leo umejitahidi kweli. Otherwise macho yangekuwa yameshauma zamaniii...Mlale vyema...