Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nashukuru kwa maombi yako,hakika yanatenda,tena kwa wakati.Sikuwahi na hautakuja niona nimekwazika nikiwa hapa,sema tu asubuhi yake nikawa nasafari ya 1,470kms na mzee.Samahani kwa yaliyo pita...tazama tumekuwa wapya sasaAsante ndugu yangu. Historia fupi uliyonipa na unayoyatenda vilinionyesha ubinadamu wako uliotukuka. Japo kimsingi ni wajibu wako lakini utalipwa zaidi na zaidi. Siku ile kama nilikukwaza nisamahe....
Nasubiri hiyo sikuIpo siku itakuja kuelewa
Mnamwaga kuku kwenye mchele mwingi[emoji17][emoji17][emoji17]Nashukuru kwa maombi yako,hakika yanatenda,tena kwa wakati.Sikuwahi na hautakuja niona nimekwazika nikiwa hapa,sema tu asubuhi yake nikawa nasafari ya 1,470kms na mzee.Samahani kwa yaliyo pita...tazama tumekuwa wapya sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua lipo linalo kuperemba hadi unapata kiungulia.Wabaya wangu watakuwa walijiinua kadri walivyo weza...Mimi nafurahi zaidi kukuona ni venye hujui tu.
Hizi baraka zikawe mara2 kwako[emoji120][emoji120]
Natamani nikung'ate sikio,sijui nikuache[emoji15][emoji15][emoji15]hata sielewi[emoji19][emoji19]
Wewe tuliaNasubiri hiyo siku
Umejuaje sasa,hivi me ni mbea kiasi hiki hadi unanikariri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukipata muda uje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua lipo linalo kuperemba hadi unapata kiungulia.Wabaya wangu watakuwa walijiinua kadri walivyo weza...
Sawa babaWewe tulia
Mungu bado ana makusudi nasi,yatupasa kumtendea yale yampendezaye.Tu wazima wrote ndugu yangu.Kweli namshukuru Mungu tuwazima kabisa. Vipi weww familia haijambo huko
[emoji125] [emoji125] [emoji125] ohoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnamwaga kuku kwenye mchele mwingi[emoji17][emoji17][emoji17]
Mtoto unanidhamu weweSawa baba
Vile nakujuanga haujui kukaa na kitu kwa koo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umejuaje sasa,hivi me ni mbea kiasi hiki hadi unanikariri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukipata muda uje
Ndio[emoji1][emoji1][emoji1]Mtoto unanidhamu wewe
Kweli kabisa kupewa siku mpya na kukutana na ndugu zako ni neema tu. Kweli tunamshukuruMungu bado ana makusudi nasi,yatupasa kumtendea yale yampendezaye.Tu wazima wrote ndugu yangu.