carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwanini vinikabe[emoji23][emoji23][emoji23]Vile nakujuanga haujui kukaa na kitu kwa koo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cole anabahatiNdio[emoji1][emoji1][emoji1]
Halafu sijui hata yuko wapi[emoji22][emoji22]Cole anabahati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nipe vionjo...Kwanini vinikabe[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukuje bhana
Bob sijui katekwa anamuda sana hajaonekana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nipe vionjo...
Kwanza,moudgulf yupo?nsamaka? Bob12? Yegomasika?
Haya, lete kionjo mama
Amina[emoji120]Kweli kabisa kupewa siku mpya na kukutana na ndugu zako ni neema tu. Kweli tunamshukuru
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] asiye jua maana haambiwi maana (ajabu mimi nimejua,ntakufa kwa puresha mimi jamani) moudgulf kesha haribu eeeh?Bob sijui katekwa anamuda sana hajaonekana
Yego yupo,hao wengine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]ubuyu wao nitakupa kesho maana itabidi nikununulie mijibapa kama mi3 hivi na kushushia