Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Dawa ya asili asali na ndimu ila nenda kanunue maduka ya madawa dawa inaitwa goodmorning ni nzuri
Dr. Numbisa nimekumisi.
Naumwa Mafua na kifua hivyo nipo hapa asubuhi hii kupata dawa ya asili juu ya huu ugonjwa wangu.
Naomba msaada tafadhali dokta wangu.