Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwenye mfumo wa fahamu.
Kuna baadhi ya minyoo huweza kuingia kwenye damu na kupelekwa kwenye ubongo. Minyoo huweza kukua na kuzalina kwenye ubongo na kukusababishia kupata matatizo ya akili na hitilafu katika shughuli mbalimbali za mwili.