Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yeye kama kiongozi wa familia hakuwa akijitambua yeye ni nani na ana wajibu gani katika maisha kama mume kwa mkewe na baba kwa wanawe. Staili ya maisha yake ilikuwa siyo kero kwa familia yake bali hata kwa majirani na jamii iliyomzunguka.