Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Binadamu kwa kawaida mwili wako unakua na mifupa 206. Lakini mtoto anapozaliwa anakua na mifupa 270 anapoendelea kukua kuna baadhi ya mifupa inaungana na kuwa kitu kimoja na kupunguza idadi ya mifupa, mpaka anapofikia utu uzima idadi ya mifupa upungua na kufikia 206.