Dr. Numbisa nimekumisi.
Naumwa Mafua na kifua hivyo nipo hapa asubuhi hii kupata dawa ya asili juu ya huu ugonjwa wangu.
Naomba msaada tafadhali dokta wangu.
Asante kwa msaada wako nitaifanyia kazi. [emoji7]Dawa ya asili asali na ndimu ila nenda kanunue maduka ya madawa dawa inaitwa goodmorning ni nzuri
goldie inkHizi ni baadhi ya mambo unayotakiwa kuyafanya kwa usalama wa figo zako.
1. Kunywa maji ya kutosha. Kunywa maji mengi huku huisaidia figo zako kuchuja taka mwili kwa wepesi na haraka, hapa hasa huepusha kupata matatizo ya mawe kwenye figo.
2. Kula chakula bora na kuzngatia lishe. Hapa hasa unashauriwa kutopendelea kutuma vyakula vinavyoweza kukusababishia kuapata shinikizo la damu au kisukari. Vyakula kama vya mafuta au vyakula vya sukari nyingi.
Unapokua katika hatari ya kupata matatizo ya figo ni vizuria kuwa na utaratibu wa kwenda kupima figo yako mara kwa mara. Hatari hizo zinazoweza kukupelekea kupata matatizo ya figo ni kama Kisukari na Shinikizo la damu.
HahahahNilikuwa naongea na dada shemeji. Usiwe na wasiwasi !!!