Kufanya mazoezi ya viungo mara kwa mara. Mazoezi ya viungo pia ni muhimu katika kuongeza utendaji kazi wa mwili na viungo vyake ikiwemo figo.
4. Chukua tahadhari katika utumiaji wa vidonge vya vitamini na utumiaji wa miti shamba. Unatakiwa kumuhusisha daktari wako kwanza akushauri kuhusu utumiaji wa vitu hivyo.
Mkuu kujua kama una tatizo la figo muhimu kupima badala ya kujishtukia. Utatibuje kitu hakijaharibika?just punguza matumizi makali ya chumvi,kula vizuri,ishi vizuri duniani tunapita mkuuLakini katika kusoma nakala zako humu Jf katika jukwaa hili kuna jambo muhimu nimeona.
Unaweza kunisaidia kujua au kutibu figo.
Maana miaka 5 sasa nimekuwa nikila chumvi sana na kuweka katika chakula chochote hata kama chakula kimewekwa chumvi kiari wakati kikipikwa lakini mimi nitafanya kuongeza chumvi mezani,
Kila nikijaribu kuacha nashindwa kuna mtaalamu akaniambia niwe nakunywa maji mengi ili kusafisha figo.
Je... ?? Ni tiba gani mbadala ambayo itaweza kutibu figo yangu kabla haijaharibika.
[emoji23][emoji23][emoji23]kama vile my future hubby anavyodanganya binti wa watu atamuoa,au vile anawaza ataoa mwanamke mzuri,mwenye akili,msa......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe kilaza niko hapa namngoja
Mh![emoji23][emoji23][emoji23]kama vile my future hubby anavyodanganya binti wa watu atamuoa,au vile anawaza ataoa mwanamke mzuri,mwenye akili,msa......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe kilaza niko hapa namngoja
See you soon darling[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
shukraniHATUA YA PILI: KUMUANZISHIA CHAKULA KIGUMU MTOTO
Ili kukidhi mahitaji ya kuongezeka kwa watoto katika umri wa miezi sita, chakula kigumu lazima kiazishwe ili kusaidia wakati akiendelea kunyonya kwa muda huo.
Cha Vyakula cha mtoto kinaweza kuwa ama kuchukuliwa hasa kutoka milo familia kwa watu wakubwa kadiri inavyowezekana.
Wataalamu wa afya na vyakula wanasema ya kwamba,
Kunyonyesha hakupaswi kupungua wakati unaanza kumpatia chakula kingine kigumu;
Chakula apatiwe mtoto ama itolewe na kijiko au kikombe/sahani na si katika chupa;
Chakula lazima kiwe safi, salama na kipatikane katika mazingira zilizopo; na
Na muda wa zaidi na wakutosha unahitajika kwa ajili ya watoto wadogo kujifunza kula vyakula vingine vigumu.