Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Unadhani mi wa mchezo mchezo.Kwani imeiva?[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku unakua
Fuata mbinu hizi kujenga tabia zitakazokufanya kupendwa na watu siku zote.
Nenda lakn[emoji6] [emoji6] [emoji6]Siendi tena
Njoo nikulishe shemeji [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Imejitaipu[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi nimehisi njaaa[emoji39][emoji39][emoji39]
Kila kitu kinapatikana hapa ispokuwa povu na ban
Hamna tatizo natype huku nawadanganya watu huku maneno mengi shida ndio hiyo[emoji6] [emoji6] [emoji6]Sijui ni kikwenu hiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha viroba dogo
Sijaona vizuri leta miwani ile jicho mojaUmeona eeeh[emoji6][emoji6]
Dogo me napika kwa smati foni[emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani mi wa mchezo mchezo.
Mapishi yako dogo ndio vile kuiva shughuli[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chitaki tena[emoji20][emoji20]Nenda lakn[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Naja[emoji23][emoji23][emoji23]Njoo nikulishe shemeji [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Imejitaipu[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka ile sitiari ya swimming pool? Ogelea kwa sasa. Furahia. Nami wakati wangu wa kuogelea utafika. Nitafurahia pia....and guess what? Iveni yua fyucha waifu sasa hivi kuna mtu anaogelea. Na wakati wako ukifika wa kuogelea utaogelea na bila shaka utafurahia...and so it goes. Kwema lakini dogo?
Acha urongo basi[emoji23][emoji23]Hamna tatizo natype huku nawadanganya watu huku maneno mengi shida ndio hiyo[emoji6] [emoji6] [emoji6]
HahahahahaHahahahah najua namba one hakosi kuwa carba