Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hospitali zetu hizi vitu kama heart attack na stroke ni kuomba Mungu tu mtu visikupate kwa kweli. Hata kama wakigundua ni kweli unapata heart attack au stroke mishipa ya damu imeziba ubongoni watafanya nini? Huduma za afya ni uwanja mmojawapo muhimu ambapo hawa jamaa wa Ulaya na Marekanj wametuzidi sana. Unapata heart attack/stroke huko kwao helikopta/ambulance inaletwa na moja kwa moja kwenye operation....
Yaani utafikiri sisi huku hatuko duniani kabisa tunaishi kwa kudra zake mwenye enzi Mungu
 
b28c74ab3be9a47f061d063670917a87.jpg
Unasema
 
Back
Top Bottom