mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Na upendoMahali pa amani
Just gonga likes tuMahali pasipo na malumbano
Mia miaMahali pekee ndani ya jf ambapo hutapata ban
Kiswahili kigumu sana ndio maana hata waswahili nao wagumu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini stroke ikaitwa kiharusi? Aliyetafsiri hii anahitaji atoe ufafanuzi kwa kweli !
YopMahali pekee ndani ya jf penye likes za upendo
AMUN RA21:40
Aaaaa wapi.Mahali pekee ndani ya jf ambapo hutapata ban
Yaani utafikiri sisi huku hatuko duniani kabisa tunaishi kwa kudra zake mwenye enzi MunguNa hospitali zetu hizi vitu kama heart attack na stroke ni kuomba Mungu tu mtu visikupate kwa kweli. Hata kama wakigundua ni kweli unapata heart attack au stroke mishipa ya damu imeziba ubongoni watafanya nini? Huduma za afya ni uwanja mmojawapo muhimu ambapo hawa jamaa wa Ulaya na Marekanj wametuzidi sana. Unapata heart attack/stroke huko kwao helikopta/ambulance inaletwa na moja kwa moja kwenye operation....
Na upendoAmani
Unasema