myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:20
Umetisha mtoa mada
😀😛BARRICK WAMESEMA WATATULIPA KIASI CHOTE WALICHOTUIBIA KWENYE MIGODI KIASI CHA Tsh Trillion 108.
Na kuna tetesi zikipatikana zitagaiwa sawa kwa Raia Watanzania wote million 50.
Hapo kila Mtanzania atapata Million 2..
Ila mimi kama Kuna mtu yupo tayari anikopeshe saiv milioni 1 na nusu tu, alafu mgao wangu wa hio milioni 2 ukitoka atachukua yeye yote.
Kama wewe ni Mwanamke gonga like hapa.
Wadada mwaga likes
If you wish to be great at all, start where you are and with what you're now.
Watoto hata wazee mwaga likes
.Mwendo wa like
Huu uzi una mbio kama Hamorapa
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni