mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Aiseee hivi Mc Hammer yupo NaNaam Kiongozi.
Kundi lao linaitwa A Tribe called Quest.
Alietutoka ni mmoja wa Wasanii kwenye Kundi hilo ambae kwa jina anaitwa Phife Dawg (Ndie Kichwa chao).
Kiongozi ulisikia na PRODIGY (wa MOBB DEEP) hatuko nae tena.
Nilisahau kukuambia siku niliyowataja Heavy D, Nate Dogg na Phife Dawg.
Yaani PRODIGY hakunijia haraka haraka
Havoc hatari sanaPRODIGY na Mwanae HAVOC.
Hivi shemeji wakumbuka ule mtanange wa mchina mweusi na kina big baba juu ya babe s?Bageshi. Kugombaniwa lakini raha eeh! Unajisikiaje? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Tupo mkuuWazee wa likes
Cant touch this!!!!Aiseee hivi Mc Hammer yupo Na
Naught by nature
Carba uliona picha yako??Nambie Mwifwa
YapPETER ROSENBERG na PRODIGY.
Mkuu nipo mambo niajeMzee wa liver